• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viwavi jeshi watishia wakulima wa mahindi Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-10-23 19:52:30

    Wakulima nchini Rwanda wameelezea wasiwasi wao baada ya kuzuka upya kwa viwavi jeshi.

    Wadudu hao sasa wanaharibu mahindi na kutishia kupunguza mavuno ya msimu huu.

    Shirika la umoja wa mataifa la Chakula na Kilimo FAO, limesema wakulima wanahitaji msaada wa haraka kukabili wadudu hao.

    Rais wa wakulima wa mahindi Evariste Tugirinshuti, amesema kinyume na mwaka uliopita, mwaka huu huenda wakulima wakapata hasara kubwa kutokana na uharibifu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako