• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa kilele kati ya Russia na nchi za Afrika wafunguliwa 

    (GMT+08:00) 2019-10-24 09:15:10

    Mkutano wa kwanza wa kilele kati ya Russia na nchi za Afrika umefunguliwa mjini Sochi, Russia, na haswa utajadili ushirikiano wa kiuchumi na kiusalama kati ya pande hizo mbili. Rais Vladimir Putin amesema katika miaka mitano iliyopita, biashara kati ya pande hizo mbili iliongezeka mara moja na kuzidi dola bilioni 20 za kimarekani, na mafungamano ya Afrika yametoa fursa zaidi kwa ushirikiano kati yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako