• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yatangaza kuondoa vikwazo dhidi ya Uturuki

    (GMT+08:00) 2019-10-24 09:16:00

    Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kuwa kutokana na Uturuki kukubali usitishaji vita wa kudumu kaskazini mwa Syria, Marekani itaondoa vikwazo dhidi ya nchi hiyo vilivyoanza kutekelezwa siku 10 zilizopita. Jeshi la Uturuki lilianzisha operesheni ya kijeshi dhidi ya wanamgambo wa Kikurdi katika sehemu ya kaskazini ya Syria tarehe 9 mwezi huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako