• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Refa Slavko Vincic amekatisha kitu ya Watanzania kwa Samatta

    (GMT+08:00) 2019-10-24 17:24:02

    Usiku wa October 23 ulikuwa wa kihistoria kwa Mtanzania Mbwana Samatta kwani alikuwa anacheza dhidi ya Liverpool, huku akiwa nahodha wa KRC Genk katika mchezo huo wa UEFA Champions League. Watanzania wengi walikuwa na hamu ya kumwona Samatta akifunga goli dhidi ya Liverpool, lakini kwa bahati mbaya Genk ilipoteza kwa kufungwa 4 – 1, huku refa akilikataa goli lililofungwa na Samatta na kudai kuwa aliotea. Teknolojia ya usaidizi wa video kwa waamuzi VAR ilizima ndoto za nahodha huyo wa KRC Genk kuifunga Liverpool.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako