• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Simba haikamatiki

    (GMT+08:00) 2019-10-24 17:28:14
    Baada ya kuwafunga na kubeba Ngao ya Jamii, Simba imeendeleza ubabe kwa Azam FC kwa kupata ushindi wa bao 1 – 0 katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabengwa hao watetezi waliondoka na pointi tatu baada ya mshambuliaji wake Mnyarwanda Meddie Kagere kufunga bao pekee katika mchezo huo na kuifanya timu hiyo ifikishe pointi 15 na kujiimarisha katika msimamo wa ligi.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako