• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania yatoa tahadhari ya mvua kubwa

  (GMT+08:00) 2019-10-25 09:38:20

  Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania TMA imetoa tahadhari ya tatu ndani ya mwezi mmoja kuhusu mvua kubwa itakayonyesha kwa siku tano kuanzia leo katika baadhi ya sehemu za nchi hiyo, ambazo ni pamoja na Tanga, Kagera, Geita, Pemba na Unguja. Tahadhari hiyo imetolewa baada ya mvua kubwa kusababisha vifo vya zaidi ya watu 30 nchini humo, na kuharibu miundombinu ikiwemo barabara, madaraja, mashamba na nyumba.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako