• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Uingereza ataka uchaguzi mkuu ufanyike mapema

    (GMT+08:00) 2019-10-25 09:39:48

    Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson amesema, kama baraza la chini la bunge la nchi hiyo likikubali uchaguzi mkuu kufanyika mapema, ataanzisha upya mchakato wa kupitisha sheria kuhusu makubaliano ya Brexit. Amesisitiza kuwa njia pekee ya kutatua suala lililokwama la Brexit ni kufanya uchaguzi mkuu mapema kuliko ulivyopangwa. Amesema atalipa bunge wakati zaidi kupitisha makubaliano mapya ya Brexit, kwa sharti kwamba, wabunge wakubali uchaguzi mkuu kufanyika tarehe 12, Disemba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako