• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jaji mkuu wa Botswana atangaza kuwa chama tawala BDP kimepata ushindi kwenye uchaguzi mkuu

  (GMT+08:00) 2019-10-25 19:10:44

  Jaji mkuu wa Botswana Bw Terrence Rannowane ametangaza kuwa chama tawala cha Botswana BDP kimepata ushindi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kwa kupata viti 29 kati ya viti 57 vya bunge. Kutokana na ushindi huo, Rais wa sasa wa nchi hiyo Bw. Mokgweetsi Masisi ameshinda nafasi nyingine ya miaka mitano.

  Uchaguzi huo ulihusisha viti 57 vya bunge la taifa na viti 490 vya madiwani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako