• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Makamu wa rais wa Afrika Kusini kufanya ziara nchini China

  (GMT+08:00) 2019-10-28 20:10:00

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang leo amesema, makamu wa rais wa Afrika Kusini David Mabuza atafanya ziara nchini China kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi tarehe 3 Novemba.

  Akiwa nchini China, Bw. Mabuza kwa pamoja na makamu wa rais wa China Wang Qishan wataendesha mkutano wa 7 wa wajumbe wote wa kamati ya uhusiano kati ya China na Afrika Kusini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako