• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la utawala wa taifa la nchi za BRICS lafanyika huko Rio de Janeiro

    (GMT+08:00) 2019-10-29 08:58:16

    Kongamano la utawala wa taifa la nchi za BRICS mwaka huu limefanyika jana huko Rio de Janeiro nchini Brazil, ambapo wajumbe takriban 150 kutoka China, Russia, India, Brazil na Afrika Kusini wamebadilishana uzoefu wa utawala wa taifa chini ya kauli mbiu "Zama Mpya, Nguvu Mpya, Kuhimiza Maendeleo ya Uchumi Kupitia Usimamizi na Uvumbuzi".

    Naibu mkurugenzi wa Idara ya Uenezi ya Kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Liang Yanshun, kwenye ufunguzi wa kongamano hilo amejulisha uzoefu wa utawala wa China, ikiwa ni pamoja na chama tawala cha kuaminika, mfumo wa utaratibu wenye ufanisi, sera ya taifa ya kimsingi ya mageuzi na kufungua mlango, utamaduni wa China unaoendelea kukua, na mkakati wa kujiendeleza kwa amani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako