• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Ulaya wakubali ombi la Uingereza kuahirisha tena mchakato wa Brexit

    (GMT+08:00) 2019-10-29 09:46:43

    Mwenyekiti wa Baraza la Ulaya Bw. Donald Tusk amesema, nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya zimekubali ombi la Uingereza kuahirisha kujitoa kwake kutoka Umoja wa Ulaya Brexit hadi kufikia tarehe 31 Januari. Baraza la chini la bunge la Uingereza jana lilipitisha mswada wa kuahirisha upigaji kura wa makubaliano mapya kuhusu Brexit yaliyofikiwa kati ya waziri mkuu wa nchi hiyo Bw.  Boris Johnson na Umoja wa Ulaya, na kumlazimisha Bw. Johnson kutuma barua Umoja wa Ulaya kuahirisha kwa mara nyingine mchakato wa Brexit.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako