• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kundi la Hamas launga mkono Palestina kufanya uchaguzi mkuu wa pande zote

    (GMT+08:00) 2019-10-29 09:47:52

    Kiongozi wa Idara ya mambo ya siasa ya Kundi la kiislamu la Palestina Hamas Bw. Ismael Haniyeh, amesema kundi hilo linaunga mkono uchaguzi mkuu nchini Palestina na kuheshimu matokeo ya uchaguzi huo, kwa sharti kwamba uchaguzi huo mkuu utakuwa wa pande zote utakaohusisha uchaguzi wa Kamati ya utungaji wa sheria, rais na Kamati kuu ya kitaifa ya Mamlaka ya Palestina ya Chama cha PLO. Ujumbe unaoongozwa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Palestina Hana Nasser umewasili Gaza na kufanya majadiliano na vyama mbalimbali vya kisiasa huko Gaza, ambapo zimefikia maafikiano juu ya mambo mengi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako