• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Trump asema jeshi la Marekani limemuua mrithi wa kwanza wa kiongozi mkuu wa kundi la ISIS

    (GMT+08:00) 2019-10-30 08:49:20

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa jeshi la Marekani limemuua mrithi wa kwanza wa kiongozi mkuu wa kundi lenye msimamo mkali la ISIS Bw. Abu Bakr al-Baghdadi.

    Rais Trump ametoa taarifa hiyo kupitia mitandao ya kijamii, lakini hakudokeza mrithi huyo ni nani na ni wapi na ni lini operesheni ya kumuua ilifanyika.

    Vyombo vya habari vya Marekani pia vimemnukuu ofisa wa Marekani akisema msemaji wa kundi la ISIS Bw. Abu Hassan al-Muhajir, ambaye anaaminika kuwa ni mmoja wa warithi wa al-Baghdadi, pia ameuawa na jeshi la Marekani kaskazini mwa Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako