• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Israel laangusha ndege isiyo na rubani kwenye Ukanda wa Gaza

    (GMT+08:00) 2019-10-30 09:29:46

    Jeshi la Ulinzi la Israel limesema limetuma ndege za kivita kuangusha ndege isiyo na rubani, ambayo ilipaa kwa urefu usio wa kawaida kwenye anga juu ya Ukanda wa Gaza. Hivi sasa ukanda wa Gaza bado haujatoa maelezo juu ya tukio hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako