• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa atarajia kushiriki kwenye Maonyesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa Zinazoingizwa China

    (GMT+08:00) 2019-10-30 19:32:26

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying amesema, Maonyesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa Zinazoingizwa China (CIIE) yatafanyika tarehe 5 hadi tarehe 10, mwezi ujao mjini Shanghai, China.

    Viongozi mbalimbali watashiriki kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo akiwemo Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, waziri mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis, na waziri mkuu wa Serbia Ana Brnabic.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako