• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Pombe zimemmaliza Cheka – Kocha

    (GMT+08:00) 2019-10-31 17:01:12
    Kocha wa bondia Francis Cheka, Abdallah Salehe almaarufu Commando, amesema kilichommaliza bondia huyo hadi kupotea kwenye ngumi ni kuendekeza unywaji wa pombe kupita kiasi. Licha ya Cheka kukanusha kuwa yeye si mlevi, kocha Commando amesema hakumkataza kunywa pombe, lakini alimwambia anywe kiasi gani na wakati gani, ila anasema bondia huyo aliendekeza pombe na kukacha mazoezi. Kwa upande wake, Cheka amekiri kutumia pombe lakini si kwa kiwango hicho, na kusema haamini kama ndio imemwangusha. Anasema kutokuwa serious kwenye mazoezi kama awali inaweza kuwa ndio sababu, na tayari ameanza mazoezi nchini Msumbiji na anatarajia kumwita kocha wake huko kwa mazoezi zaidi.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako