• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kamati Kuu ya CPC yakamilisha kikao cha nne na kutoa taarifa rasmi

    (GMT+08:00) 2019-10-31 18:54:01

    Kamati Kuu ya 19 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) imemaliza kikao chake cha nne hii leo hapa Beijing na kutoa taarifa rasmi.

    Katibu mkuu wa Kamati hiyo Bw. Xi Jinping ametoa hotuba muhimu katika kikao hicho kilichoendeshwa na ofisi ya kisiasa ya Kamati Kuu ya CPC.

    Kikao hicho kimesikiliza na kujadili ripoti ya kazi iliyotolewa na Bw. Xi, pia kilifanya tathmini na kupitisha uamuzi wa Kamati Kuu ya CPC juu ya masuala muhimu kuhusu jinsi ya kudumisha na kuboresha mfumo wa ujamaa wenye umaalum wa Kichina, na kuendeleza mfumo wa kisasa wa China na ujenzi wa uwezo wa uongozi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako