• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda yaongeza mauzo yake ya umeme kwa Kenya baada ya kupunguza ushuru kwa asilimia 50

  (GMT+08:00) 2019-10-31 19:26:48

  Uganda imeongeza mauzo yake ya umeme nchini Kenya kwa asilimia 67 kutokana na kupunguza ushuru wa umeme kwa asilimia 50.

  Kenya inaagiza umeme zaidi kutoka Uganda kwa sababu Uganda ilipunguza ushuru kutoka Sh787.3 hadi Sh501.

  Wizara ya Nishati nchini Kenya imesema ongezeko hilo la ununuaji umeme zaidi kutoka Uganda limetokana na nchi hiyo kuipunguzia Kenya ushuru kwa asilimia 50 tangu mwezi Juni.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako