• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Azam kuonesha pambano la Mwakinyo, Mfilipino

    (GMT+08:00) 2019-11-01 17:52:46
    Kampuni ya Azam Media imeingia mkataba wa kuonesha pambano la Hassan Mwakinyo na Arnel Janiola Tinampay raia wa Filipino, litakalifanyika Novemba 29, mwaka huu. Pambano hilo la uzito wa kilo 69 la raundi 10 limepangwa kufanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, ambalo litatanguliwa na mapambano matano. Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando, amesema wameingia mkataba huo ili kutoa burudani kwa Watanzania na raia wa nchi nyingine.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako