• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Simba yatua Dar, hasira zao zote kwa Mbeya City

    (GMT+08:00) 2019-11-01 17:53:09
    Kikosi cha Simba kimetua jana Dar es Salaam kutoka Shinyanga na kuanza mara moja maandalizi ya kumaliza hasira zao za kufungwa na Mwadui watakapokutana na Mbeya City Jumapili katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Simba ilifungwa na Mwadui FC bao 1-0 katika mchezo wa ligi hiyo uliopigwa juzi kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga. Kikosi hicho kilifika Dar es Salaam jana asubuhi na leo asubuhi wameendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Uhuru, kujiandaa na mchezo huo.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako