• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China afanya ziara nchini Uzbekistan na kushiriki mkutano wa SCO

    (GMT+08:00) 2019-11-01 18:52:23

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo amewasili nchini Uzbekistan kwa ziara ya kiserikali ambapo pia atashiriki kwenye mkutano wa 18 wa wakuu wa serikali za nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO).

    Bw. Li pia atafanya ziara nchini Thailand na kushiriki kwenye mkutano wa 22 wa viongozi wa China na Umoja wa Nchi za Asia ya Kusini Mashariki ASEAN, mkutano wa 22 wa viongozi wa China, Japan, Korea Kusini na ASEAN na mkutano wa 14 wa Asia Mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako