• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China asisitiza ujenzi wa miji lazima ulingane na mahitaji halisi ya watu

    (GMT+08:00) 2019-11-03 18:03:11

    Rais Xi Jinping wa China jana alifanya ukaguzi mjini Shanghai, mashariki mwa China, akisisitiza kuwa ujenzi wa miji lazima ulingane na mahitaji halisi ya watu.

    Rais Xi amesema ujenzi wa miji lazima ushikilie wazo la kimaendeleo linalolingana na mahitaji halisi ya wananchi, kupanga nafasi za shughuli za uzalishaji, maisha na ikolojia kwa njia mwafaka, ili kuwapatia wananchi mazingira mazuri ya makazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako