• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China kuhudhuria CIIE na kutoa hotuba

    (GMT+08:00) 2019-11-03 18:51:49

    Maonyesho ya pili ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa yatafunguliwa Jumanne ijayo mjini Shanghai, na rais Xi Jinping wa China atahudhuria maonyesho hayo na kutoa hotuba.

    Wakati huohuo, Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na vyombo vingine vikuu vya habari vya China vitatangaza moja kwa moja ufunguzi wa maonyesho hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako