• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yarusha satelaiti mpya ya uchunguzi wa dunia

    (GMT+08:00) 2019-11-04 09:16:13

    China imerusha satelaiti mpya ya uchunguzi wa dunia, Gaofen-7, ambayo itafanya kazi muhimu katika utafiti na uchoraji ramani, ujenzi wa miji na vijiji na uchunguzi wa kitakwimu. Mamlaka ya Anga za Juu ya China CNSA imesema satelaiti hiyo ilirushwa na roketi ya Long March-4B ambayo pia ilirusha satelaiti nyingine tatu za kibiashara na kisayansi ikiwemo moja kwa ajili ya Sudan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako