• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yashuhudia ongezeko la watu wanaofanya kazi ng'ambo katika robo tatu za mwanzo za mwaka huu

    (GMT+08:00) 2019-11-04 09:16:38

    China imeshuhudia ongezeko la taratibu la watu wanaofanya kazi nje ya nchi katika robo tatu za mwanzo. Ripoti iliyotolewa na Wizara ya Biashara ya China imesema kuanzia Januari hadi Septemba, China imetuma watu laki 3.56 kufanya kazi nje ya nchi, ikiwa ni ongezeko la watu elfu 1 kuliko mwaka jana kipindi kama hicho. Ripoti imesema katika miezi hiyo tisa, kampuni za China zilituma watu laki 1.59 kufanya kazi nje kufuatia miradi ya kandarasi huku laki 1.87 wakipelekwa kupitia ushirikiano wa nguvukazi wa kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako