• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kili Marathon yazinduliwa rasmi

  (GMT+08:00) 2019-11-04 16:58:39
  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania Dk. Harrison Mwakyembe amezindua rasmi mbio maarufu Kilimanjaro Premium Lager Marathon za 18 jijini Dar es Salaam, huku akitoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mbio hizo zitakazofanyika tarehe Mosi mwezi Machi mwaka ujao. Waziri Mwakyembe amewapongeza wadhamini wa mbio hizo wakiongozwa na Kilimanjaro Premiul Lager, kwa dhamira yao ya kukuza sekta ya michezo hususan riadha na kufanya mbio hizo kubwa mwaka hadi mwaka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako