• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yaanza kujitoa kwenye Makubaliano ya Paris

    (GMT+08:00) 2019-11-05 10:26:01

    Taarifa iliyotolewa na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo imesema nchi hiyo imeanza mchakato wa kujitoa kwenye Makubaliano ya Paris. Mwezi Juni mwaka 2017, Rais Donald Trump alitangaza kuwa nchi yake itajitoa kwenye Makubaliano hayo. Kwa mujibu wa Makubaliano hayo, Marekani inatarajiwa kujitoa rasmi kwenye Makubaliano hao Novemba 4 mwakani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako