• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yaadhimisha miaka 40 ya kukaliwa kwa ubalozi wa Marekani

    (GMT+08:00) 2019-11-05 10:26:21

    Watu wa Iran wamefanya maandamano kote nchini kuadhimisha miaka 40 ya kukaliwa kwa ubalozi wa zamani wa Marekani mjini Tehran, huku maofisa wa Iran wakiwa wanapinga hadharani shinikizo linalozidi kuwa kali kutoka kwa Marekani. Mjini Tehran, waandamanaji walikusanyika mbele ya jengo la zamani la ubalozi wa Marekani, wakisema "maficho ya majasusi", wakibeba mabango ya kukosoa sera za Marekani dhidi ya Iran. Rais Hassan Rouhani amesema serikali ya Marekani imetambua kuwa shinikizo la Marekani vikiwemo vikwazo dhidi ya Iran, ni sera inayoshindwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako