Mabadiliko hayo yanatokana na kuongezeka kwa uthibiti kwenye soko la ulaya kutokana na kuwepo kwa wadudu wanaoshambulia mimea.
Mkurungezi mkuu wa chama cha wakuza mboga na matunda Ojepati Okesegere amesema sasa asilimia 90 ya kampuni zilizokuwa zikiuza pilipili kwenye soko la ulaya zimeanza kuuza soko la mashariki ya kati.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |