• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa wapitisha maazimio ya kuzuia ushindani wa kijeshi kwenye anga ya juu

    (GMT+08:00) 2019-11-06 10:02:23

    Kamati ya kwanza ya Baraza kuu la Umoja wa Mataifa imepitisha maazimio matatu yaliyopendekezwa na Russia ya kuzuia ushindani wa kijeshi kwenye anga ya juu. Maazimio hayo ni pamoja na "hatua halisi za kuzuia ushindani wa kijeshi kwenye anga ya juu", "kutoweka silaha kwanza kwenye anga ya juu", na "uwazi na hatua za kujenga uaminifu". Marekani na Israel ni nchi pekee zilizopiga kura ya hapana dhidi ya maazimio hayo yote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako