• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Balozi wa China asema operesheni za kulinda amani ya UN ni lazima zifuate kanuni

    (GMT+08:00) 2019-11-07 09:13:59

    Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Balozi Zhang Jun, amesema operesheni za kulinda amani ya Umoja wa Mataifa ni lazima zifuate malengo na kanuni za katiba ya Umoja wa Mataifa na kanuni za kusimamia operesheni hizo. Amesema baraza la usalama la Umoja wa Mataifa linapaswa kuheshimu vya kutosha mamlaka na nia ya nchi mwenyeji, na kufuatilia maoni yao na ya nchi zinazotuma polisi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako