• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa Russia asema Iran haijavunja mkataba wa kutoeneza silaha za nyuklia

    (GMT+08:00) 2019-11-07 09:14:28

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia Bw. Sergei Lavrov amesema, hatua za kipindi cha nne zilizotangazwa na Iran za kusitisha utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia JCPOA, ni kupunguza wajibu wake wa kutekeleza makubaliano hayo, bila kukiuka mkataba wa kutoeneza silaha za nyuklia. Amesema, kwa mujibu wa azimio la Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wajibu wa Iran katika kutekeleza makubaliano hayo ni wa hiari, unaotegemea nchi nyingine kutekeleza wajibu wao au la.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako