• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Dola za kimarekani bilioni 24.5 zaahidiwa katika mkutano wa uwekezaji nchini Afrika Kusini

    (GMT+08:00) 2019-11-07 17:20:29

    Mkutano wa pili wa Uwekezaji unaofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Sandton nchini Afrika Kusini umekusanya dola za kimarekani bilioni 24.5 kama ahadi za uwekezaji.

    Ahadi hizo, zikihusisha maeneo mbalimbali ikiwemo madini, utengenezaji, miundombinu na nishati, zitasaidia ukuaji wa uchumi wa Afrika Kusini na kukabiliana na ukosefu wa ajira.

    Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa amesema, inakadiriwa kuwa uwekezaji huo utachochea kuanzishwa kwa nafasi 412,000 za kazi katika miaka mitano ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako