• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marekani yamtaja Amadou Kouffa kuwa gaidi wa kimataifa SDGT

  (GMT+08:00) 2019-11-08 09:13:17

  Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imemtaja Amadou Kouffa, mwanachama maandamizi wa kundi la Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin JNIM kuwa gaidi maalumu wa kimataifa SDGT. Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo inasema, Bw. Kouffa aliongoza shambulizi dhidi ya jeshi la Mali mapema mwaka huu, ambalo limesababisha vifo vya askari zaidi 20.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako