• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • GOFU: Gofu yatumika kusaidia macho

    (GMT+08:00) 2019-11-11 17:53:51
    Wanamichezo 90 kutoka sehemuy mbalimbali nchini Tanzania walishiriki mashindano maalum ya gofu yaliyoandaliwa na klabu ya Lions ya jijini Dar es Salaam kwa lengo la kukusanya fedha za kusaidia watu wenye matatizo ya macho. Mwenyekiti wa klabu hiyo Lion Shabir Khanbai amesema, kwa muda mrefu wamekuwa wakitoa husuma za matibabu ya macho bure kwa wagonjwa katika mikoa yote nchini Tanzania, na huduma hiyo imekuwa ikitolewa mara nne kwa mwaka na wanaamini husaidia kupunguza tatizo hilo kwa Watanzania wenzao.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako