• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shirika la kusambaza umeme Uganda lafanya oparesheni  dhidi ya umeme usio halali

    (GMT+08:00) 2019-11-18 19:17:16

    Wakaaji wa mji wa Kampala Uganda wako mbioni kuhakikisha umeme walionao ni halali kufuatuia tishio kutoka kwa maofisa wa shirika la kusambaza umeme nchini humo. Maofisa hao wanadaiwa kuanzisha oparesheni hiyo ili kupunguza hasara linalopata shirika hilo.Baadhi ya wenyeji wa mji huo wa Kampala walilazimika kuomba msamaha ili wasikatiwe umeme wanaotumia majumbani mwao.

    Oparesheni hiyo ilifanywa na maofisa wa shirika la kusambaza umeme nchini Uganda kwa ushirikiano na maofisa wa polisi.

    Waliopatikana wakitumia umeme ambao haukuunganishwa kwa njia halali wakiwemo wafanya biashara walitakiwa kufunga biashara zao kama hawataki kushtakiwa mahakamani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako