• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Kagame Ujerumani kwa mkutano wa uwekezaji wa G20 Compact

    (GMT+08:00) 2019-11-19 19:31:32
    Rais wa Rwanda Paul Kagame amewasili nchini Ujerumani kujiungana viongozi wengine wa Afrika kwa mkutano wa uwekezaji wa G20 Compact.

    G20 Compact ilizinduliwa mwaka 2017 ili kuhimiza uwekezaji barani Afrika hasa kwenye miundo mbinu.

    Nchi 12 za Afrika tayari zimejiunga na mpango huo zilkiwemo Benin, Burkina Faso, Côte d'Ivoire, Ethiopia na Ghana.

    Kwenye mkutano huo Rwanda itawasilisha ushirikiano wake na kampuni za Volkwagen na Siemens.

    Kulingana na taakwimu kutoka kwa halmashauri ya maendeleo ya Rwanda, kati ya mwaka 2000 na 2019 kampuni 17 za Ujerumani zimewekeza nchini humo dola milioni 257.

    Sekta Ujerumani inazowekeza nchini Rwanda ni kama vile madini, huduma, ujenzi, utengenezaji bidhaa na kilimo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako