Taarifa ya kampuni hizo inasema kuwa uwekezaji wa miundo mbinu umezidi dola bilioni 100.
Hata hivyo taarifa hiyo imesema kuwa bado kunasalia mwanya wa uwekezaji wa dola bilioni 92 kila mwaka.
Mahitaji uya uwekezaji kwenye miundo mbinu barani Afrika kila mwaka ni kati ya dola bilioni 130 na 170
Sekta ya maji ndio inayotengewa fedha ndogo na inahitaji dola bilioni 66 kila mwaka.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |