• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kibarua cha kocha Mauricio Pochettino wa Tottenham Hotspurs chaota mbawa

    (GMT+08:00) 2019-11-20 08:21:05

    Klabu ya Tottenham Hotspurs jana ilitangaza rasmi kumtimua kazini aliyekuwa kocha wao mkuu Mauricio Pochettino ambaye amehudumu kwenye klabu hiyo kwa miaka mitano na nusu. Katika miaka yake mitano aliyokuwepo Tottenham Hotspurs ikiwa ni misimu minne, timu imefanikiwa kumaliza TOP 4 huku msimu uliopita 2018/2019 ikifanikiwa kufika fainali ya UEFA Champions League. Pochettino amelazimika kuondolewa baada ya bodi na mwenyekiti wa klabu hiyo Dany Levy kuona timu inahitaji mabadiliko kufuatia kuwa na msimu mbaya ikiwa imeshinda mechi 5 tu msimu huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako