• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Shirikisho la Soka DRC lamfungia Meshack Elia wa TP Mazembe kwa mwaka mmoja

    (GMT+08:00) 2019-11-20 08:21:47

    Shirikisho la soka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC limemfungia mchezaji, Meshack Elia wa TP Mazembe mbaye ni raia wa taifa hilo kutojihusisha na mchezo wa soka kwa muda wa mwaka mmoja. Maamuzi hayo yamekuja kufuatia Elia kuvunja taratibu za usajili kwa kujiunga na klabu ya Anderletch inayoshiriki Ligi Kuu Ubelgiji bila ridhaa ya Mazembe. Maamuzi ya mchezaji huyo yaliwafanya Mazembe kumshitaki mchezaji huyo kwenye shirikisho la soka nchini kwao na ndipo likachukua maamuzi ya mfungia mwaka mmoja. Taarifa imesema mara baada ya kufungiwa, Elia alitimkia nchini Uswisi ambapo anaishi huko hivi sasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako