• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Afisa mwandamizi wa Korea Kaskazini asema Sweden haina haja ya kupatanisha tena mazungumzo kati yake na Marekani

    (GMT+08:00) 2019-11-20 09:03:16

    Ofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini Bw. Kim Myong Gil amesema Sweden haina haja tena ya kuwa msuluhishi wa mazungumzo kati ya nchi yake na Marekani. Ameishukuru Sweden kwa kutoa msaada kwa mazungumzo yaliyofanyika mapema mwezi Oktoba, lakini sasa Korea Kaskazini na Marekani zimeelewana vizuri, na Sweden haina haja tena ya kuwa mpatanishi. Amesisitiza kuwa mazungumzo hayo hayatafanyika hadi Marekani itakapoacha sera za uhasama dhidi ya Korea Kaskazini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako