• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kocha wa zamani wa Man United Jose Mourinho ateuliwa kocha wa Tottenham

    (GMT+08:00) 2019-11-20 18:16:43
    Aliyekuwa kocha wa timu ya Manchester United na Chelsea, Jose Mourinho, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa Tottenham Hotspurs, siku moja baada ya kocha wa Spurs Mauricio Pochettino kufutwa kazi. Kocha huyo atawanoa Spurs ambao wameshindwa kuimarika kimchezo katika mkataba utakaomalizika mwaka 2022/2023. Akizungumza wakati wa uteuzi huo, mwenyekiti wa Spurs, Daniel Levy alimuelezea mkufunzi huyo Mreno kama kocha ambaye ataleta mabadiliko mengi katika klabu hiyo ya London.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako