• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaunga mkono UN-Habitat kutoa mchango muhimu katika kutimiza malengo ya maendeleo endelevu

    (GMT+08:00) 2019-11-21 09:47:19

    Naibu balozi wa China katika Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa UN-Habitat Tong Guichan, amesema China inaunga mkono shirika hilo kutoa mchango muhimu katika kutimiza malengo ya maendeleo endelevu ya umoja huo. Tong ameyasema hayo kwenye mkutano wa watendaji wa shirika hilo. Amesema China inalitaka shirika hilo lifanye vya kutosha kazi kama shirika la pande nyingi, kwa kuhimiza ushirikiano na mawasiliano, ili kupata uungaji mkono zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako