• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndayiragije: Safari ya Cameroon bado ipo

    (GMT+08:00) 2019-11-21 18:24:28

    Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ya wanaume 'Taifa Stars', Etienne Ndayiragije, amesema timu hiyo bado ina nafasi ya kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2021) ambazo zimepangwa kuchezwa mwakani nchini Cameroon. Stars juzi ilishindwa kutamba ugenini, baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Libya, katika mchezo wake wa pili wa Kundi J uliochezwa Uwanja wa Olympique Mustapha Ben Jannet, Monastir nchini Tunisia. Ndayirage alisema wanayo nafasi ya kumaliza nafasi ya pili kama ya kwanza itashindikana, kwani kwa sasa watapata muda mrefu wa kujiandaa na michezo inayofuata.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako