• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu za kibiashara na kiuchumi za China na Marekani kuendelea kufanya mawasiliano

    (GMT+08:00) 2019-11-21 20:28:53

    Msemaji wa wizara ya biashara ya China Bw. Gao Feng amesema, timu za kibiashara na kiuchumi za China na Marekani zitaendelea kufanya mawasiliano.

    Amesema, China inapenda kufanya juhudi pamoja na Marekani kutatua ipasavyo ufuatiliaji wa upande mwingine, ili kufikia makubaliano ya kipindi cha kwanza juu ya msingi wa usawa na kuheshimiana. Hali hiyo inalingana na maslahi ya pamoja ya pande mbili, ambayo pia inaendana na maslahi ya dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako