• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China na wakuu wa mashirika makuu ya fedha ya kimataifa wafanya mazungumzo ya nne ya meza duara

    (GMT+08:00) 2019-11-21 20:30:08

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang hapa Beijing amefanya mazungumzo ya nne ya meza duara ya "1+6" na wakuu wa mashirika makuu ya fedha ya kimataifa ikiwemo Benki ya Dunia, Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Shirika la Biashara Dunia(WTO)na Shirika la Kazi la Umoja wa Mataifa, ILO.

    Mkutano huo wenye kaulimbiu ya "Kuhimiza uwazi, utulivu na maendeleo ya sifa ya juu ya uchumi wa dunia" umefanya mawasiliano ya kina juu ya mustakabali wa uchumi wa dunia na hatua za kukabiliana na hali mbalimbali, kuhimiza usimamizi na mageuzi ya dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako