• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Urefu wa reli ya kasi nchini China kuongezeka kuwa kilomita elfu 35 mwishoni mwa mwaka huu

  (GMT+08:00) 2019-11-24 16:42:43

  Kampuni ya reli ya China leo inasema, mtandao wa reli ya kasi ya China utaendelea kuongoza duniani kwa urefu wa karibu kilomita elfu 35 ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

  Habari zinasema urefu wa jumla ya reli nchini China utafikia kilomita laki 1.39 ifikapo mwishoni mwa mwaka huu. Na mwaka huu reli ya China imesafirisha jumla ya abiria bilioni 3.6, ambalo ni ongezeko la asilimia 92 kuliko mwaka 2012.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako