• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kili Queens sasa yawazia AFCON

    (GMT+08:00) 2019-11-27 18:17:04

    Baada ya timu ya taifa ya wanawake Tanzania Bara Kilimanjaro Queens kuvuliwa ubingwa wa Kombe la CECAFA, uongozi wa timu hiyo umesema lengo lao sasa ni kutafuta nafasi ya kushiriki mashindano makubwa Zaidi, wakianza na fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa Wanawake. Mwenyekiti wa Soka la Wanawake Tanzania Amina Karuma amesema, kwa sasa mikakati yao ni kuhakikisha kuwa timu hiyo inashiriki mashindano makubwa kutokana na uwezo mkubwa iliyoonyesha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako