• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kocha Jose Mourinho afichua sababu ya Victor Wanyama kubaki benchi

    (GMT+08:00) 2019-12-02 20:39:50

    Kocha wa Tottenham Jose Mourinho amesema bado hajamrejesha Victor Wanyama uwanjani kwa sababu hajaimarika kimchezo. Japo kuna tetesi za kuhusishwa na kuondoka klabu ya Tottenham, nahodha huyo wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars kwa sasa amekuwa na wakati mzuri uwanjani. Kiungo huyo kupitia taasisi yake ya Victor Wanyama Foundation, alitoa mchango wa basi kwa klabu yake ya zamani ya Country Bus FC, lakini uwanjani, Wanyama amekuwa akikumbana na msururu wa majereha na kumpelekea kukosa mechi tatu za Spurs tangu Mourinho kuchukua usukani katika klabu hiyo ya London.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako