• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Samatta afunga goli, Genk yachezea kichapo

  (GMT+08:00) 2019-12-02 20:40:25

  Licha ya kutimuliwa kwa Felice Mazzu, klabu ya KRC Genk anayoichezea nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars, Mbwana Samatta imeendelea kufanya vibaya katika Ligi Kuu Ubelgiji, ikipoteza mchezo wa nne mfululizo. Genk wakiwa nyumbani wamekumbana na kipigo cha mabao 2 – 1 kutoka kwa Sin-Truiden jumamosi iliyopita katika mchezo wa Ligi hiyo, ambapo bao la kufutia machozi la Genk lilifungwa na Samatta. Tangu klabu hiyo imfukuze kocha wake Mazzu na nafasi yake kuchukuliwa na Hannes Wolf, wameshindwa kuibuka na ushindi katika mechi yoyote.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako